• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SAME

Karibu kwenye Tovuti Rasmi ya Halmashauri ya Wilaya ya Same na hapa utaweza kupata taarifa mbalimbali zinazohusu Wilaya ya Same.

Wilaya ya Same ni miongoni mwa Wilaya 6 zinazounda Mkoa wa Kilimanjaro na ilianzishwa mwaka 1962. Wilaya iko kilomita 105 kutoka Moshi ambapo ni makao makuu ya Mkoa wa Kilimanjaro.

Wilaya hii inachukua eneo la kilomita za mraba 5,186 sawa na 39% ya eneo lote la Mkoa (13309km2).

Muundo wa Utawala

Wilaya ya Same ina Majibo mawili ya Uchaguzi ambayo ni Same Magharibi na Same Mashariki, Wilaya hii imegawanywa katika tarafa 6, kata 34, vijiji 100 na vitongoji vilivyosajiliwa 503 kati ya hivyo kuna vitongoji 16 vinavyofanya Mamlaka ya Mji  Mdogo wa Same. Wilaya pia ina majimbo mawili ya ubunge ambayo ni Same Mashariki inayoundwa.

Idadi ya watu

Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, Wilaya ya Same ina jumla ya watu 300,303 wakiwemo Wanaume ni 147,293 na Wanawake 153,010. Msongamano wa watu ni watu 53 kwa Km2, Ukuaji kwa mwaka ni 2.4% na jumla ya Kaya katika Wilaya 76,272. Ukubwa wa wastani wa kaya ni 4.5.

Wakazi wa Same

Wakazi wengi  wa Same ni wa kabila la Wapare na wahamiaji wachache kutoka Usambara na Wachaga kutoka Moshi, kabila la Wamasai wametawanyika kwenye Kata za Ruvu, Kisiwani, Maore, Ndungu, Makanya, Kata ya Kihurio na kata ya Hedaru hasa wakiishi kama wafugaji.

 Shughuli za Kiuchumi

Takriban 90% ya wakazi wa Wilaya ya Same wapo vijijini na wanategemea sana kilimo na ufugaji kwa maisha yao. Mbali na shughuli za kilimo baadhi ya wananchi wachache hutegemea biashara kuendesha maisha yao.

Katika miaka ya hivi karibuni Wilaya imekuwa ikiuza mazao ya chakula na biashara nje ya nchi.
Mazao ya chakula yanayolimwa hasa ni mahindi, mpunga, mtama wa maharagwe, mihogo, kunde, fiwi,viazi vitamu, ulezi na ndizi. Mazao makuu ya biashara ni kahawa, na tangawizi, mpunga na  mahindi .
Maeneo ya Uwekezaji
Wilaya ya Same ina maeneo mbalimbali ya Uwekezaji ikiwemo uwekezaji kwenye kilimo cha umwagiliagi kwenye Kata za Maore,Ndungu,Ruvu na Kihurio.
Uwekezaji mwingine ni wa viwanda vya Saruji na Gypsum maana Wilaya ya Same ni tajiri kwa madini yanayotumika kwenye utengenezaji wa Saruji kama Gypsum, Magnesite ,pia Wilaya ya Same ina dhahabu kwa kiasi kidogo.
 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • WACHIMBA MADINI SAME WATAKIWA KUTUNZA MAZINGIRA

    May 19, 2025
  • SAME YAPANIA KUONGEZA UZALISHAJI WA MKONGE

    May 05, 2025
  • SAME YAPANIA KUONGEZA UZALISHAJI WA MKONGE

    May 05, 2025
  • SAME YAOMBA WIZARA YA KILIMO KUIPATAIA MICHE YA PARACHICHI

    May 01, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.