Posted on: November 25th, 2024
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Same Mashariki na Same Magharibi Bw.Jimson Mhagama amewataka wasimamizi wa vituo vya kupigia kura kuzingatia Kanuni na miongozo yote ya Uchaguzi wakati wa zoezi la...
Posted on: November 11th, 2024
Jumla ya Wanafunzi 3,928 leo wameanza mitihani yao ya kumaliza kidato cha nne mwaka huu 2024.
Afisa Elimu Sekondari Wilaya ya Same Bi. Neema Lemunge amesema Wanafunzi hao wameandaliwa vizuri kitaal...
Posted on: November 1st, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Same Mheshimiwa Kasilda Mgeni amezindua Msimu wa pili wa tasha la Same Utalii Festival (SUF) litakaloanza Desemba 20 hadi 22 mwaka huu 2024.
Tamasha hilo linalotaraji...