Posted on: June 19th, 2018
Halmashauri ya Same imetoa mkopo wenye thamani ya shilingi milioni 96,500,000/= kwa vikundi 32 ambapo vikundi vya wanawake ni 16 waliopata jumla ya shilingi milioni 46,500,000/= na kwa vikundi 1...
Posted on: June 17th, 2018
NGO ya EMPOWER TANZANIA imekabidhi jengo la kituo kinachotoa huduma kwa mama na mtoto kilichopo kitongoji cha Nadururu kata ya Maore baada ya kukiendesha kwa miaka 6.Pia wamekabidhi baiskeli 69 kwa wa...
Posted on: June 15th, 2018
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri Ya Wilaya ya Same Ndg.John Nko ameambatana na baadhi ya wakuu wa idara na vitengo ambao ni Mganga Mkuu wa wilaya Dr.Andrew Godfrey,Afisa Mipango wilaya Ndg.Sim...