Posted on: August 30th, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Same imetumia Shilingi Bilioni 14 kutekeleza miradi mbalimbali ya Maendeleo kwa mwaka wa fedha 2023/2024 ambapo kati ya fedha hizo bil 2.4 zilikuja nje ya ukomo wa bajeti..
...
Posted on: August 15th, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bw.Jimson Mhagama amewataka kheri watumishi wanaokwenda kushiriki Mashindano ya Michezo mbalimbali ya Watumishi yanayofanyika Kitaifa Mkoani ...
Posted on: August 28th, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Same imekabidhi pikipiki tatu kwa watendaji wa Kata za Myamba, Vudee na Chome ili kurahisisha utekelezaji wa majukumu yao.
Akikabidhi pikipiki hizo zilizotolewa na Ofisi ya...