Posted on: September 9th, 2019
Katika miaka kumi na saba(17) waliyofanya kazi wilayani Same shirika la world vision limeweza kushirikiana na wilaya kukamilisha madarasa 54,vyoo 104,kompyuta 55,zahanati 7,nyumba za walimu/waga...
Posted on: September 6th, 2019
Katika kufurahia ongezeko la takwimu za mabweni na madarasa katika chuo cha ufundi St.Joseph kinachomilikiwa na kanisa la RC jimbo la Same.
DC Same alieleza furaha yake ya kupata marafiki wazuri...
Posted on: August 31st, 2019
Kamati ya usalama Wilaya ya Same imejiridhisha na uwepo wa madini Wilayani humo baada ya kutembelea baadhi ya maeneo ya machimbo na kujionea madini yaliyoletwa sokoni.
Afisa anayehusika na kupim...