Posted on: January 15th, 2020
Kampeini ya "kijiji changu furaha yangu"yashika kasi Same ambapo kampeini hii inawaunganisha wacharo(Diaspora) kushiriki maendeleo katika maeneo wanayotoka.
"Kijiji kikiwa na zahanati nzuri,shul...
Posted on: December 16th, 2019
Halmashauri ya Same imetoa mkopo wenye thamani ya shilingi milioni 110,000,000/= kwa vikundi 29 vya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu.Mikopo hii ni kutokana na makusanyo ya mapato ya ndani kwa kip...
Posted on: November 25th, 2019
Serikali imetoa Tshs 647M kwa chuo cha FDC Same ili kukarabati majengo yote pamoja na kujenga bweni,madarasa 2,jengo la utawala,karakana ya magari na darasa la chekechea.
Gharama ya ada yashuka had...