Posted on: August 6th, 2020
Ni uzinduzi wa mpango wa kusajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wa umri chini ya miaka mitano ambapo mpango huo ulizinduliwa na Ndg Sospeter Magonera ambaye ni Katibu Tawala wa Wilaya a...
Posted on: August 5th, 2020
Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Same Mashariki na Magharibi, anatangaza RATIBA ya Kuchukua FOMU za UTEUZI kwa mujibu wa RATIBA iliyotolewa na TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI.
Fomu za UTEUZI kwa Wagombe...
Posted on: June 23rd, 2020
Halmashauri ya Wilaya ya Same imetoa mkopo wenye thamani ya shilingi milioni 60,000,000/= kwa vikundi 17 ambapo wanawake ni 7,vijana 7 na watu wenye ulemavu 4.Mikopo hii ni kutokana na makusanyo ya ma...