Posted on: September 17th, 2021
Halmashauri ya Wilaya ya Same imetoa mkopo wenye thamani ya shilingi milioni 100,000,000/= kwa vikundi 23 kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2021/2022.Kati ya vikundi hivyo vikundi 9 ni ...
Posted on: September 8th, 2021
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Anastazia Tutuba pamoja na menejimenti yote ya Halmashauri ya Wilaya ya Same wanawatakia heri na mafanikio watahiniwa wa darasa la saba katika m...
Posted on: September 1st, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe.Edward Mpogolo leo tarehe 01/09/2021 ameongoza zoezi la kugawa pikipiki kwa watendaji wa kata 15 zilizopo wilayani Same ambapo pikipiki hizo zimenunuliwa na Halmashauri ya W...