Posted on: January 22nd, 2025
Mamlaka ya Mji Mdogo Same imemchagua Bw.Ramadhani Mangare kuwa Mwenyekiti wa Mamlaka ambaye ataongoza Mamlaka kwa kipindi cha miaka mitano huku Bi.Theopista Merdad akichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti....
Posted on: January 13th, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Same,Mkoani Kilimanjaro, imewajengea uwezo kuhusu Mtaala wa Elimu ulioboreshwa Wakuu wa shule na walimu wa taaluma 165 kutoka shule 46 za Serikali na 19 za binafsi ili k...
Posted on: January 8th, 2025
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amewataka wananchi wa Wilaya ya Same kutunza na kulinda miradi mbalimbali inayowekezwa na Serikali kwenye maeneo yao ili iweze kudumu na kunufaisha kizazi ...