Posted on: March 21st, 2024
Ujio wa Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt.Philip Mpango kwenye Wilaya ya Same umeleta neema kwa Shule ya Sekondari Same kuchimbiwa visima vya maji baada ya shule hiyo kukosa maji ya uhakika kwa muda mrefu...
Posted on: March 20th, 2024
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki ametembelea mabanda ya Maonesho ya mazao ya Misitu yaliyopo kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Same ukiwa ni kuelekea kilele cha Siku ya M...
Posted on: March 19th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu, amekemea tabia ya baadhi ya wafugaji kulisha mifugo yao kwenye miti inayopandwa katika maeneo mbalimbali Mkoani humo ambapo ameagiza mamlaka za Seri...