Posted on: May 6th, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bw.Jimson Mhagama amewatakia kheri wanafunzi wa Kidato cha Sita 2024 ambao wameanza mitihani yao.
Jumla ya wahitimu 814 wanafanya mitihani...
Posted on: April 30th, 2024
Wilaya ya Same imekamilisha zoezi la chanjo dhidi ya kansa ya mlango wa kizazi kwa kwa mafanikio makubwa kwa kufikia asilimia 122 ya malengo tarajiwa.
Chanjo hiyo iliyokuwa inaendeshwa kitaifa kwa ...
Posted on: April 28th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Same Mheshimiwa Kasilda Mgeni amelaani vikali mauaji ya Mwenyekiti wa Kitongoji cha Sinangoa "A" Kata ya Ndungu Bw.Charles Mnguruto (58) ambaye aliuwawa na watu wasiojulikana kwa kuc...