Posted on: September 16th, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bw.Jimson Mhagama leo Agosti 16,2024 amebandika Tangazo la mipaka na majina ya Vijiji na Vitongoji ikiwa ni sehemu ya Maandalizi kuelekea Uchaguzi ...
Posted on: September 11th, 2024
Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Wilaya ya Same limepata Viongozi katika Mkutano wa Uchaguzi uliofanyika Septemba 11 kwenye ukumbi wa Halmashauri.
Viongozi hao ambao watadumu madarakani...
Posted on: September 10th, 2024
Jumla ya wanafunzi 6151 wanatarajia kufanya mitihani ya kuhitimu darasa la Saba Wilayani Same ambapo kati yao wanafunzi 3012 ni wavulana na wasichana ni 3139, takwimu hizo zinajumuisha wanafunzi wenye...