Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Anastazia Tutuba pamoja na menejimenti ya Halmashauri ya Same na watumishi wote kwa ujumla kwa masikitiko makubwa wanatoa pole kwa wafanyabiashara wote walioguswa moja kwa moja na wananchi wa Dar es salaam ambao ni watumiaji wakuu wa soko kuu la Kariakoo na watanzania kwa ujumla kwa tukio la soko hilo kuungua,pia salamu za pole kwa Serikali na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa madhara ya kitega uchumi hicho cha kimataifa na cha kihistoria.
The Way Through Mkomazi Nationa Park or District Hospital(Kibacha Rd)
Sanduku La Posta: P.O.Box 138
Simu ya mezani: +255 27 2758034
Simu Ya Mkononi: +255 717657681
Email: ded@samedc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.