Ili kuchochea jamii kujali na kutunza ikolojia ya hifadhi,Mkomazi wameanzisha tuzo kwa jamii na taasisi zinazozunguka mbuga hiyo kuanzia mwaka huu 2019.
Tuzo hizo zimetolewa kwa washindi watano wa vikundi pamoja na shule tano(5) zilizofanya vizuri.Ambapo walipewa fedha kati ya Tshs laki mbili(2) hadi laki saba(7).
"Tuzo hii itaongeza mwamko wa jamii kuitunza mbuga huiyo na kuwajali wanyama walioko kwani wanaona matunda yake".Alisema DC Same katika hafla hiyo.
Awataka wadau wengine kuiga mfano.Naye kamishna msaidizi wa Mkomazi ameahidi kuiendeleza tuzo hiyo kila mwaka na kuwataka watu kuona umuhimu wa kuitunza hifadhi ya Mkomazi kama rasilimali ya kujivunia kwa wilaya ya Same.
Aeleza mpango wa mradi wa Faru kuifanya Mkomazi kuwa mbuga pekee Tanzania yenye kivutio hicho.
The Way Through Mkomazi Nationa Park or District Hospital(Kibacha Rd)
Sanduku La Posta: P.O.Box 138
Simu ya mezani: +255 27 2758034
Simu Ya Mkononi: +255 717657681
Email: ded@samedc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.