Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe.Rosemary Staki Senyamule akikagua mradi wa umeme hasa uimara wa nguzo katika eneo la Loresho kijiji cha Muungano kata ya Ruvu.Eneo hili ni mji mpya uliotokana na mafuriko ya mwaka 2019 baada ya wananchi wa Ruvu Mferejini kuhamishwa.
Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya aliwataka TANESCO kuhakikisha nguzo zote zinawekwa imara ili zisiwe sababu ya umeme kukatika.
"Same is not the same"
The Way Through Mkomazi Nationa Park or District Hospital(Kibacha Rd)
Sanduku La Posta: P.O.Box 138
Simu ya mezani: +255 27 2758034
Simu Ya Mkononi: +255 717657681
Email: ded@samedc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.