Pichani ni Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe.Rosemary Staki Senyamule akipokea vifaa vya afya(face mask,surgical gloves,clean gloves) kutoka kwa mdau wa maendeleo Ndg. Kaoneka ambaye pia ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Vuga Development Initiative na Kaoneka Safaris.Vifaa vimekabidhiwa kwa hospitali ya Wilaya ambapo vinaweza kutumika kwa muda wa miaka mitatu(3).Tunaomba wadau wengine ndani ya nchi waige mfano wa mdau huyu.
The Way Through Mkomazi Nationa Park or District Hospital(Kibacha Rd)
Sanduku La Posta: P.O.Box 138
Simu ya mezani: +255 27 2758034
Simu Ya Mkononi: +255 717657681
Email: ded@samedc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.