Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Anna-Claire Shija akagua kituo cha afya Ndungu na ardhi iliyovamiwa na watu wakidai ni yao.Akizungumzia na wananchi wa kata ya Ndungu amesema kuna utofauti mkubwa kati ya shamba na sura ya ardhi ambapo Halmashauri imetoa notice ya kubatilisha umiliki wa shamba la Helium Investmest na Halmashauri inasubiri maelekezo kutoka wizarani.
Bi.Anna-Claire Shija atoa tahadhari kwa wavamizi wa ardhi katika kata ya Ndungu kuwa wanapaswa kufwata taratibu kuanzia ngazi ya kijiji.
Aidha Bi.Anna-Claire Shija awataka wavamizi hao wa ardhi kuondoka katika maeneo hayo ndani ya siku kumi na nne(14).
Pia Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same atembelea shule ya sekondari ya Ndungu iliyoezuliwa paa
The Way Through Mkomazi Nationa Park or District Hospital(Kibacha Rd)
Sanduku La Posta: P.O.Box 138
Simu ya mezani: +255 27 2758034
Simu Ya Mkononi: +255 717657681
Email: ded@samedc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.