• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

Kitengo Cha TEHAMA

KITENGO CHA TEKNOLOJIA,HABARI,MAWASILILIANO  NA  MAHUSIANO ( TEHAMA)

UTANGULIZI

Halmashauri ya Wilaya ya Same ni miongoni mwa halmashauri zinazotekeleza muundo mpya wa halmashauri za Wilaya ambao uliidhinishwa 08.07.2011 na Waziri Mkuu Mh Mizengo P Pinda. Kwa sasa kitengo kina watumishi 3 ambao ni  maafisa TEHAMA 2 na afisa TEHAMA msaidizi 1. Toka kuanzishwa kwake hadi sasa kitengo hiki kimejitahidi kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa ili kuweza kufanikisha lengo namba 9 la serikali ambalo ni kuimarisha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano. 

  Jukumu kubwa la kitengo hiki ni kusimamia masuala yote ya habari na mawasiliano ya halmashauri halikadhalika kusimamia mifumo yote ya halmashauri. Kitengo hiki kimegawanyika katika sehemu kuu mbili ambazo ni:

• Habari na Mahusiano

• TEHAMA

Majukumu ya Kitengo

• Kuandaa miadi ya mkurugenzi kukutana na kuongea na vyombo mbalimbali vya habari

• Kutoa ufafanuzi kwa vyombo vya habari na jamii kwa masuala mbalimbali yanayohusiana na halmashauri kwa kufuata maelekezo ya mkurugenzi

• Kuandaa machapisho mbalimbali kwa ajili ya kuhabarisha jamii kuhusiana na masuala mbalimbali ya halmashauri (machapisho kama vile vipeperushi, jarida, )

• Kuandaa mkutano wa waandishi wa habari (Press Conference) baina ya mkurugenzi/mwenyekiti wa halmashauri  na waandishi wa habari.

• Kuratibu na kusimamia waandishi wa habari katika shughuli mbalimbali za halmashauri kama vile baraza.

• Kuhakikisha halmashauri inasajili na kutumia barua pepe za serikali (Government Mailing System) kwa ajili ya kutuma na kupokea taarifa za kiserikali.

• Kusimamia mawasiliano ya ndani na nje ya ofisi (Internal and External Communication)

• Kusimamia Mifumo yote ya halmashauri,ifuatayo ni mifumo inayosimamiwa

• Mfumo wa Hcmis(Lawson)

• Mfumo wa Rasilimali Fedha (Epicor)

• Mfumo wa Prem

• Mfumo wa Mapato ( Lgrcis)

• Kusimamia Mashine za kieletroniki zinazokusanya Mapato(POS Machine)

Kusimamia Matengenezo yote ya vifaa vya TEHAMA kwa kuhakikisha vifaa vyote vipo katika hali nzuri

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • MATOKEO DARASA LA SABA 2020 November 23, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • SERIKALI KILIMANJARO YAAHIDI KUWATAFUTIA MASOKO WAJASIRIAMALI

    March 08, 2023
  • MKUU WA WILAYA SAME AONGOZA WANAWAKE KUSAIDIA WENYE UHITAJI

    March 06, 2023
  • SIKU YA WANAWAKE KUFANYIKA SAME KIMKOA

    March 05, 2023
  • DC SAME AKABIDHI PIKIPIKI KWA WATENDAJI

    February 27, 2023
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Rules and Regulation
  • Videos
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

    The Way Through Mkomazi Nationa Park or District Hospital

    Sanduku La Posta: P.O.Box 138

    Simu ya mezani: +255 27 2758034

    Simu Ya Mkononi: +255 717657681

    Email: ded@samedc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.