Sunday 18th, May 2025
@Vitongoji vyote
Wananchi wa maeneo mbalimbali hapa nchini watashiriki kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa kwa nafasi za:-
Mwenyekiti wa Kijiji/Mitaa
Mwenyekiti wa Kitongoji
Wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji kundi mchanganyiko na kundi la wanawake.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.